Friday, 17 May 2013

kilimo cha uyoga

1. Banda la Kuzalishia Uyoga - Ukaguru Group 
Ni Rahisi kiasi ambacho Kila Mmoja atamudu gharama zake.



 

2. Maandalizi ya Bags za Kuzalisha Uyoga
 



3. Ngazi Rahisi kwa ajiri ya Kupanga Bags za Uyoga - 
Ni za Gharama rahisi sana.


 




Wanachama Nje ya Banda la uzalishaji


Afisa Kutoka TAHA Mr Onesmo Keneth 
katika Mkutano wa Wanakikundi ili Kubadilishana Mawazo.



HAKUNA LINALOSHINDIKANA KILA KITU NI KUAMUA TU KAMA HAWA WANAKIKUNDI WALIVYOAMUA KUZALISHA UYOGA. JE UKIANGALIA JENGO, NGAZI NA HATA MABEGI YA UYOGA UNAHITAJI MTAJI KIASI GANI KUANZISHA MRADI MDOGO KAMA HUU.

KAZI NI KWAKO.

BUSINESS BLOG.

blog hii itakuwa inapost vitu kuhusu kilimo cha ujasiliamali...